Mwanzo Services Kuhusu Sisi Mawasiliano Staff Login

Mikopo
Kwa watumishi

Uwezeshaji kwa watumishi wa umma na watumishi wa sekta binafsi – mikopo rahisi, na riba nafuu kwa muda rafiki.

Wasiliana Nasi

Mikopo
kwa Vikundi

Vikundi vya kijamii, wanawake na vijana – dhamana ya pamoja, fursa kubwa.

Wasiliana Nasi

Mikopo kwa
wajasiriamali

Mikopo nafuu kwa wajasiliamali na wafanyabiashara | Rafiki | Kwa dhamana rahisi na mchakato wa haraka.

Wasiliana Nasi
1
2
3

Huduma zetu • what we offer

Mikopo kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara

Kuanzia TZS 50,000 hadi 3,000,000 | Mchakato rahisi, riba nafuu, malipo ya kuendana na mapato yako.

➔ Riba rafiki kwa Wote

Mikopo kwa Watumishi

Kuanzia TZS 50,000 hadi 5,000,000 | Mchakato rahisi, riba nafuu, malipo ya kuendana na mapato yako.

➔ Riba rafiki kwa Wote

Mikopo kwa Wastaafu & Vikundi

Kuanzia TZS 50,000 hadi 5,000,000 | Vikundi yenye dhamana ya kijamii, elimu ya biashara na ushirikiano.

➔ Riba rafiki kwa Wote

Mikopo ya Dharura

Kuanzia TZS 50,000 hadi 500,000 | Mchakato rahisi, riba nafuu, malipo ya kuendana na mapato yako.

➔ Riba Rafiki kwa Wote

Kuhusu sisi • About Retawa

Tangu 2023, Retawa Financial Services imekuwa ikitoa huduma za kifedha kwa Wajasiriamali, Wafanyabiashara, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi, Wastaafu na Vikundi mbalimbali.

  • Makao makuu: Kilala NAIC, Meru, Arusha
  • Matawi 5 kukufikia mteja wetu
  • Zaidi ya wateja 8,500 wamehudumiwa

"Retawa ilinisaidia kupanua duka langu kutoka kibanda hadi jengo. Asanteni sana."

— Mwanaidi J., mteja tangu 2024

Wasiliana nasi

+255 712 949 006

info@retawafinancialservices.com

retawafinance@gmail.com

Jumatatu – Ijumaa: 08:00 – 18:00

Jumamosi & Jumapili: 10:00 – 17:00

RETAWA FINANCIAL SERVICES
is managed by LOANCLOUD

A digital software to ease loans management – customers, contracts, repayments, staff, reports. Built for microfinances, credit companies by SoftMack Digital

Secure Staff Login